msanii maarufu wa music wa hip hop nchini ,marekani anaye julikana kwa jina jigga au Jay Z amepanga kukutana kufanya majadiliano na wasanii baadhi kama vile drake na mr.hudison kwaajili ya kujiandaa na kipindi cha kiangazi au summer time kama wao wanavyo sema kwaajili ya kufanya tour ya kimuziki nchini humo
No comments:
Post a Comment